Shamba la mazao mchanganyiko

Shmaba langu liko Wilaya ya Kilindi ni zaidi ya hekari 20

Click on the button to send this farmer a message.

Nimekuwa nikilima kwa muda wa miaka miwili sasa na kupata mazao lakini soko limekuwa shida kidogo nadhani sasa nimeshapata mkombozi wa kupata msaada wa kupata masoko ya uhakika ya mazao yangu nikivuna hapo msimu wa mwa 2015 utakapofikia wakati wake.

Produce:

Currently open transactions


Neighbors: