Farmily inajihusisha na nini?

Kuelekeza uzalishaji na usambazaji wa chakula kwa ajili ya ulimwengu endelevu

Kulisha idadi ya watu inayokua na kuwezesha usalama wa chakula kutasbabisha rasilimali za sayari yetu kuchoka sana. Kwa kuanza na India, Farmily inaleta njia mpya juu ya namna dunia inavyozalisha, inavyosambaza na inavyotumia chakula.

Kunganisha mfumo wa kiekolojia wa kilimo kwamasoko mapya

Usambazaji wa kasi wa simu za kisasa kutasaidia bilioni nyingine ya wakulima ambao hawajaunganishwa na mtandao kuweza kufikia masoko mapya na kubadilishana maarifa na mbinu za kisasa za kilimo.

Kuboresha uzalishaji wa taka na kufanya kuwa katika mahitaji muhimu

Kuzalisha kulingana na mahitaji na kufanya miamala kwa wakati kutasaidia kutoa huduma na bidhaa kwa wakati muafaka na hii itasaidia kuondoa uharibifu mkubwa wa chakula unaojitokeza katika mchakato wa kuyatoa mazao shambani hadi yanapofika mezani.

Ni kitu gani Farmily inaweza kukusaidia nayo?

Wakulima

Inakusaidia kuwafikia wanunuzi wapya na kujadili bei nzuri ya mazao yako. Inakuwezesha kuwa na maarifa kupitia nguvu ya teknolojia ya mawasiliano kuweza kutangaza mazao yako mbele ya umati mkubwa wa watu na inasaidia mahitaji kuongoza biashara yako. Inawafanya wanunuzi kujua kile unachozalisha na mahali lilipo shamba lako kwa kuorodhesha mazao yako katika Farmily. Wanunuzi waliovutiwa na mazao yako wanaweza kuwasiliana nawe na kuweka oda ya kununua mazao yako kwa njia ya mtandao. Utaweza kujadiliana juu ya bei, muda wa kusafirisha mazao na masharti ya kufanya malipo.

Wanunuzi wa mazao ya shambani na walaji

Msingi mpana wa usambazaji unakuruhusu wewe kama mmiliki wa supamaketi, mchuuzi wa mazoa ya kilimo, mgahawa, mnunuzi mkubwa, chakula au biashara nyingine kununua mazao bora kwa bei nzuri na ya haki kwa kutengeneza na kukidhi mahitaji ambako kunafanya gharama na ubora kuwa imara. Mazao yanaweza kufuatiliwa na kusimamiwa kuanzia shambani hadi mezani kwa kuhakikisha upotevu unakuwa mdogo sana. Uzalishaji unaozingatia mahitaji, utakuwezesha kukadiria gharama kwa usahihi na kusimamia vizuri mzunguko wa pesa. Udhibiti wa ubora unakuwa ni rahisi na unaweza kuungnishwa kwanye mfumo wa usambazaji kwa uhakika zaidi. Upotevu wa mazao unapunguzwa na hii inasaidia kuongeza faida zaidi na kuwezesha usalama wa chakula.

Mfumo wa ki-ekolojia wa kilimo uliounganishwa

Wagavi na wafanya biashara wa malori wanaweza kuimarisha mtandao wao na hivyo kuboresha gharama na uwezo wao. Kugaharimikia mchakato wa uongezaji wa thamani katika mazao kunakuwa rahisi kufuatilia na kutekeleza. Taratibu zinazohusika na masuala ya mikopo na bima kwa ajili ya kilimo zinaweza kutekelezwa kikamilifu.
Upatikanaji wa huduma za kilimo na pembejeo huongezeka maradufu. Kupatikana kwa taarifa zihusuzo kilimo, kupata maarifa juu ya mbinu za kisasa za kilimo na utekelezaji wa mbinu bora zaidi kwa ajili ya kilimo endelevu na cha kisasa kunaweza kufanyika kwa haraka na kwa ufanisi.

Haraka na Rahisi Kujisajili

Tumia namba yako ya simu ya mkono ukiwa India au anwani yako ya barua pepe kutengeneza akaunti. Kama ni mkulima orodhesha mazao yako na mahali ulipo ili wanunuzi waweze kukufukia ulipo. Kwa maswali na mapendekezo zakaribishwa, tafadhali wasiliana nasi kupitia info@farmily.com au tupigie bure kwa namba 1800 1214142.

Jenga mfumo wako wa ekolojia

Waambie rafiki zako, migahawa, maduka makubwa, wachuuzi, wagavi na wafanya biashara wa malori na wengine wote wanohusiana na masuala ya kilimo wajisajili na waanze kutumia farmily. Ni rahisi! Ni bure kabisa! Jisajili sasa!